Mafundi wakiendelea na kazi ya kuunganisha mabomba ya maji eneo la Kiluvya jijini Dar es salaam.
Shirika lisilo la kiserikali la Water Aid limesema linashirikiana na serikali kuhakikisha asilimia 25-30 ya wananchi ambao hawajafikiwa na huduma ya maji safi na salama zinafikiwa kabla ya mwaka 2030.