Tyson Fury ajitoa pambano la marudiano na Klitchko
Bondia bingwa wa uzito wa juu duniani Tyson Fury amejitoa kwenye pambano la kutetea mikanda yake ya dunia ya WBO, WBA na IBO uzito wa juu na Wladimir Klitschko mwezi ujao baada ya kuumia kifundo cha mguu.