Mipaka ya jeshi iheshimiwe na wananchi-Kigwangalla
Naibu Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Khamis Kigwangalla amewataka wananchi nchini kuepuka migogoro isiyo na ulazima kwa kusogeza mipaka na kuingilia maeneo ya kambi mbalimbali za jeshi.