Muswada wa kuanzisha Mahakama ya Ufisadi wapita
Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2016,unaolenga kufanya marekebisho ya sheria mbalimbali 26 unaopendekeza kufunguliwa kwa Mahakama ya Ufisadi itakayoshughulikia kesia umepitishwa na Bunge.