Mhandisi Deusdedit Kakoko aukwaa Ukurugenzi TPA Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amemteua Mhandisi Deusdedit Conatus Kakoko kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini Tanzania (TPA). Read more about Mhandisi Deusdedit Kakoko aukwaa Ukurugenzi TPA