Hatma ya Urusi Olimpiki ipo mikononi mwa IOC
Kizungumkuti cha kashfa ya dawa zilizopigwa marufukua michezoni, bado kinaiweka njia panda nchi ya Urusi, na huruma ya IOC, ndiyo inasubiriwa kujua hatma ya wanariadha wake kama watashiriki mashindano ya Olimpiki.

