Mabinti waje kushiriki Dance100%- Jaji Khalila
Shindano la Dance100 2016 limeanza kwa usaili wa kwanza kufanyika katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaam ambapo kati ya makundi 10 yaliyojitokeza, makundi matano yalifanikiwa kupita na kwenda ngazi ya roboa fainali

