Shelisheli hofu tupu kwa Serengeti Boys kesho
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ya Shelisheli, Gavan Jeanne ameonesha kuihofia Serengeti Boys ya Tanzania katika mchezo wa kuwania nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa utakaofanyika kesho.