Watoto kuzaa umri mdogo kichocheo cha umasikini
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania, TAMWA, kimeitaka serikali kuhakikisha inapitia upya hatua inazochukua kupambana na ukatili wa kingono dhidi ya watoto na ndoa za utotoni ambazo zinazidi kuongezeka nchini.