Kiswahili chazidi kufagiliwa, kutumika Kimataifa
Chama cha wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania THTU, tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imepongeza hatua ya Mhe. Waziri mkuu Kassim Majaliwa kutaka lugha ya kiswahili kutumika ndani na nje ya nchi kwa viongozi na taasisi za serikali.