Dkt.Shein awataka Wazanzibar kulinda Utamaduni wao
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kutumia vizuri mitandao ili kulinda utamaduni pamoja na kuacha kuiga mambo yasiyopendeza wanayoyaona kutoka kwa wageni,ambayo ni kinyume na maadili na utamaduni wa Mzanzibar.
