Waziri Mkuu akerwa na utendaji Maliasili na Utalii
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kujipanga vizuri na kufanya mapitio ya idara zake hususan ya misitu baada ya kubainika kuwepo kwa matatizo makubwa.