Ndanda FC kumalizia usajili kwa mechi za kirafiki
Kocha wa Timu ya Ndanda FC ya Mjini Mtwara Joseph Lazaro amesema, atahakikisha anatumia mechi za kirafiki kwa ajili ya kutafuta wachezaji watakaoweza kuziba nafasi za wachezaji walioondoka ndani ya klabu hiyo ili kuiweka timu katika nafasi nzuri zaid
