Kiboko ya Shelisheli waenda mapumziko kwa muda
Kikosi cha timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 Serenget Boys kimevunja kambi rasmi leo na kwenda mapumziko ambapo kinatarajia kurejea tena Julai 12 mwaka huu kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Afrika Kusini.