Mourinho airejesha Man United yake Uingereza
Mechi moja tu ya kirafiki siyo kipimo kabisa kwa kikosi cha Mourinho, na alikuwa akihitaji mechi ya Derby dhidi ya Manchester City ili kuangalia makosa ya mechi iliyopita ya kichapo cha 4-1 dhidi ya kwa Borussia Dortmund, lakini mvua ikatibua.

