Mgawe ajitetea matumizi mabaya ya madaraka

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA),Ephraim Mgawe,

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA),Ephraim Mgawe, ameieleza Mahakama hakukiuka sheria za manunuzi ya Umma kwa kuwa alisaini mkataba kwa makubaliano ya masharti ya mkopo kutoka benki ya Exim ya China.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS