Wananchi watakiwa kuepuka uuzaji ardhi kiholela

Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Ngalawa akiongea na Wananchi wa Jimbo lake.

Wananchi wilayani Ludewa, mkoani wa Njombe, wametakiwa kutunza ardhi na kujiepusha na uuzaji holela wa rasilimali hiyo, ili waweze kunufaika kupitia miradi mikubwa ya Liganga na Mchuchuma ambayo ipo mbioni kuanza mapema mwaka 2017.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS