CHADEMA wahojiwa polisi kwa kufanya mikutano

Mbunge wa jimbo la Karatu, Willy Qambalo

Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) leo, wamehojiwa na jeshi la polisi mkoa wa Arusha, kwa tuhuma za kukiuka sheria na kufanya mikutano ya hadhara kinyume na sheria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS