Wagonjwa 45,000 wa saratani hugundulika kila mwaka
Picha ya pamoja ya wake wa marais na mawaziri wa afya wa afrika,waliohudhuria mkutano wa 10 wa kupambana na saratani ya shingo ya Kizazi,matiti na tezi dume (picha/habari na wizara ya afya)
Ugonjwa wa saratani nchini Tanzania ni chanzo cha magonjwa na vifo, hivyo inakadiriwa takribani wagonjwa wapya wa saratani 45,000 hugundulika kila mwaka.