Wananchi wawafichue viongozi wauza unga Kawe

Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kihalifu katika maeneo ya Kata ya Kawe wananchi wa maeneo hayo wameiomba serikali kuwajengea Hospitali maalum kwa ajili ya kuwatibu na kuwahifadhi waathirika wa madawa ya kulevya wanaoishi katika kata hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS