Wachezaji 70 wa Urusi waelekea Rio kwenye Olimpiki Baada ya Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki, kuiruhusu Urusi kushiriki mashindano ya Olimpiki ya Rio, hatimaye timu hiyo imeondoka hii leo kuelekea Brazil kwa mashindano hayo. Read more about Wachezaji 70 wa Urusi waelekea Rio kwenye Olimpiki