NEMC yawashukia wawekezaji Kanda ya Ziwa.
Baraza la taifa la usimamizi na uhifadhi wa Mazingira nchini Tanzania NEMC, limesema ni asilimia mbili tu ya miradi mbalimbali ya uzalishaji na maendeleo katika Kanda inayofuata sheria ya mazingira katika kiwango cha kuridhisha.
