Idara ya Uhakiki Zanzibar watakiwa kuacha kuzembea
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. , Khalid Salum Mohamed,
Idara ya Uhakiki wa Mali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetakiwa kuacha kuzembea katika kusimamia manunuzi ili kuondoa ubadhirifu katika idara hiyo ambayo ni muhimu katika ukuaji wa uchumi.