Wataalamu wa miradi ya Maji wakutana Morogoro.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge akimtwika maji mama katika Kijiji cha Longuo, Wilayani Moshi.

Wataalamu wa kutoka Mamlaka za Maji za Miji Mikuu nchini wamekuta mjini Morogoro kujifunza namna ya kutumia mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa taarifa mbalimbali za miradi ya Maji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS