Dkt. Magufuli awashukia Viongozi wabadhirifu CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewataka Viongozi wa Chama hicho waliojinufaisha na miradi mbalimbali ya chama hicho warejeshwe wenyewe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS