Muro afungiwa mwaka kutojihusisha na soka Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Jerry Muro, amefungiwa mwaka mmoja kujitohusisha na masuala ya soka pamoja na kutozwa faini ya Sh. Milioni 3. Read more about Muro afungiwa mwaka kutojihusisha na soka