Fatma aaga akiwa amekamilisha madawati Mtwara
Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani wameeleza masikitiko yao juu ya kuondoka kwa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bi. Fatma Ally, ambaye ni miongoni mwa wakuu wa wilaya ambao hawakuteuliwa tena katika uteuzi mpya uliofanywa na rais.