Serikali inaandaa sheria ya kuhamia Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Jenista Mhagama amesema Utungwaji wa sheria wa kuhamia Dodoma uko tayari na unafanyiwa kazi na wanafanya utaratibu wa kuomba nafasi isomwe katika Bunge lijalo

