Video yetu na Chid Benz haitazuiwa kutoka- Baghdad

Msaniii wa Bongo Flava Baghdad

Msaniii Baghdad amesema kwamba video ambayo amefanya na Chid Benz ni lazima itoke na masharti ambayo Chid Benz anayatoa sasa kwamba kabla video hiyo kutoka lazima ipitie kwa Babu Tale ataipeleka huko lakini lazima video itoke tarehe 31 mwezi huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS