Wachezaji wapya Simba kutambulishwa 'Simba Day' Rais wa klabu ya Simba Evance Aveva Klabu ya Simba imeahidi itawatangaza wachezaji wake wapya na kuwashangaza mashabiki wake siku ya Tamasha la Simba Day. Read more about Wachezaji wapya Simba kutambulishwa 'Simba Day'