Serikali iweke mpango endelevu wa kuingiza mafuta
Jumuiya ya wafanyabiashara wa mafuta nchini Tanzania wameishauri serikali iweke mpango maalumu ambao utakua endelefu kwa kuboresha njia za uingizaji wa bidhaa hiyo Ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa bidhaa ya mafuta nchini .

