Kiwanda cha Dangote chapigwa faini ya milion 15

Naibu Waziri Ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina ( katikati) Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Bw. Khatib Kizinga (kushoto) wakipata maelezo toka kwa Bw. Sultani Pwaga wa kiwanda cha Gas cha Madiba Mjini Mtwara wakati wa ziara ya Naibu Waziri Mpina kiwandani hapo.

Serikali imekitoza faini ya shilingi milioni 15, kiwanda cha kutengeneza simenti cha Dagonte Industry Limited kilichopo mjini Mtwara, kwa kosa la kukiuka sheria ya mazingira

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS