Malaika

Msanii wa Bongo Fleva, Malaika amejikuta kwenye mtego wa kuwindwa na Freemason baada ya kutuhumiwa kuwa baadhi ya mambo yanayomzunguka yana ishara au alama za freemason ikiwemo jina lake la Iluminati na namba yake ya simu kuwa na 666 mwishoni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS