Wadau JATA watakiwa kujitokeza ugombea uongozi Baraza la Michezo nchini BMT limewataka wadau wa mchezo wa Judo kuendelea kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu za ugombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika chama cha Judo Tanzania JATA. Read more about Wadau JATA watakiwa kujitokeza ugombea uongozi