Zima Moto watakiwa kufanya kazi kwa weledi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi nchini Tanzania Mhandisi Hamad Masauni amerejea kauli yake ya kukitaka kikosi cha jeshi la zima moto na uokoaji kuhakikisha kinafanya kazi kwa weledi Read more about Zima Moto watakiwa kufanya kazi kwa weledi