Wanaotupa taka hovyo Ilala, kufikishwa mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam Sophia Mjema amesema kuanzia sasa manispaa ya Ilala itamfikisha mahakamani mtu yeyote atakayegundulika anatupa taka barabarani kiholela Read more about Wanaotupa taka hovyo Ilala, kufikishwa mahakamani