Mkude akataa kucheza Afrika Kusini

Kiungo wa klabu ya Simba, Jonas Mkude.

Kiungo wa klabu ya Simba, Jonas Mkude amefuzu majaribio ya kuichezea klabu ya Mpumalanga inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini lakini kilichomkwamisha ni maslahi madogo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS