Winga wa Medeama asaini miaka miwili Azam FC
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imefanikiwa kunasa saini ya winga nyota wa timu ya Medeama ya Ghana, Enock Atta Agyei, ambaye tayari amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo.

