Trafik wakusanya milioni 320 kwa siku nne DSM Askari wa kikosi cha usalama barabarani Jijini Dar es salaam akiwa kazini. Jeshi la Polisi Kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam limekusanya shilingi milioni 320.2 ambapo fedha hizo ni kutokana na tozo za makosa ya usalama barabarani. Read more about Trafik wakusanya milioni 320 kwa siku nne DSM