Baadhi ya vijana waliojitokeza katika dimba la Lake Tanganyika mjini Kigoma
Azam FC, imefanikiwa kuvuna vijana sita kwenye majaribio ya wazi yaliyohusisha vijana chini ya umri wa miaka 17 (U-17), iliyoyafanya katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma mwishoni mwa wiki.