HESLB yafafanua kuhusu wadaiwa sugu waliofariki

Mkurugenzi Mtendaji HESLB - Abdul-Razaq Badru

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetoa ufafanuzi kuhusu watu wanaodaiwa na bodi hiyo ambao tayari walikwishapoteza maisha, ambapo imesema kuwa itawafuatilia wadhamini wao ili walipe kwa niaba yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS