Kifo cha mchezaji wa Mbao FC, baba mzazi afunguka
Wadau wa soka nchini wameendelea kumlilia mchezaji Ismail Halfan wa timu ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 wa Mbao FC ya Mwanza, aliyefariki dunia jana baada ya kuanguka kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba mkoani Kagera dhidi ya vijana wa Mwadui