TFF yamfungia mchezaji kwa kufanya udanganyifu
Mara baada ya timu ya Panone FC kupeleka malalamiko juu ya ushiriki wa mchezaji Christopher Mahanga katika Ligi ya TFF ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 20, Shirikisho la Soka nchini TFF limesimamisha ushiriki wa mchezaji huyo katika mashindano