Hatutamvumilia atakayefanya urasimu - Mh. Majaliwa
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inahitaji ushirikiano mkubwa na wafanyabiashara, hivyo haitakubaliana na mtumishi yeyote wa umma atakayefanya urasimu kwa lengo la kukwamisha uboreshaji wa sekta binafsi.