Swahili Fashion Week 2016 yaanza jijini DSM Maonyesho ya mitindo ya mavazi ya Swahili Fashion Week 2016 yameanza jijini Dar es salaam, ambapo wabunifu kutoka sehemu mbali mbali Afrika wamepata fursa ya kuonyesha ubunifu wao. Read more about Swahili Fashion Week 2016 yaanza jijini DSM