Ligi ya Soka ya Wanawake kuendelea Novemba 20
Ligi Kuu ya Soka ya wanawake Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea tena Novemba 20 baada ya kusimama kupisha mchezo wa kimataifa wa kirafiki baina ya timu ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars na timu ya Taifa ya Cameroon.