Serikali kumaliza kero za umeme nchi nzima
Serikali imedhamiria kukamilisha na kuimarisha mtandao wa usafirishaji na usambazaji umeme nchini ili kufikia malengo ya dira ya taifa ya kufikia asilimia 75 ifikapo mwaka 2025 ya kuhakikisha miji na vijiji vyote vya Tanzania vinakuwa na umeme.