Makocha 30 mchezo wa kuogelea wahitimu mafunzo Baadhi ya makocha waliopata mafunzo Wahitimu wa mafunzo mbalimbali ya mchezo wa kuogelea nchini wametakiwa kutumia elimu na ujuzi walioupata katika jamii ili kupata vipaji vingi zaidi katika mchezo huo. Read more about Makocha 30 mchezo wa kuogelea wahitimu mafunzo