Vyuo Vikuu Afrika Mashariki vyajadili ubora, Dar
Vyuo vya Elimu ya Juu vya Afrika Mashariki na Kati vimekutana kwa siku mbili Jijini Dar es Salaam, kutathmini namna ambavyo vinachangia maendeleo ya nchi zao sambamba na kuondoa idadi kubwa ya wahitimu wasiokidhi mahitaji ya soko la ajira .