Watanzania watakiwa kuwa na tabia ya kujitolea
Kuelekea siku ya kimataifa ya kujitolea tarehe 5 Disemba, shirika la Umoja wa Mataifa la kujitolea UNV nchini Tanzania, linatarajia kuitumia siku hii kufanya kazi za kujitolea ili kuhamasisha jamii kujitolea kwa ajili ya maendeleo, amani na usaidizi